Jinsi ya kupika makande ya mahindi

Maandalizi ya jinsi ya kupika makande ya mahindi.
.hakikisha unasufuria ya kupikia 
. hakikisha una mafuta ya kupikia 
.hakikisha una viungo vyote 

VIUNGO VINAVYOHITAJIKA 
.Kitunguu 
.nyanya
.karoti 
.hoho 
.mafuta 
.jumvi 

JINSI YA KUPIKA 
-weka sufuria kisha bandika maji motoni yenye wastani wa mahindi yako 
_acha yachemke 
_weka maharage yako 
_acha yachemke ndani ya dakika tano 
_weka mahindi kwenye maji yaliyo changanywa na maharage 
_weka chumvi & mafuta 
_funika ndani ya dakika ishirini 
_weka nyanya,kitunguu,hoho,karoti.
_funika ndani ya masaa mawili,Baada ya hapo funua sufuria na makande yako yapo tayari kwa kuliwa.

Comments