Jinsi ya kupika kupika maandazi

 Jinsi ya kupika maandazi.

VIAMBA UPISHI 

_kikaango 

_sukari 

_amira 

_maji ya vuguvugu 

_unga wa ngano 

_mafuta 


JINSI YA KUPIKA 

. Chukua unga wako wa ngano uweke kwenye chombo chenye maji ya vuguvugu 

.weka chumvi 

. weka mafuta kidogo 

.anza kukanda unga mpaka upate umbo la Duara halisi 

.chukua kisukumio anza kusukuma Duara lako mpaka upate umbo la chapati 

.katakata vipande vinavyokidhi matakwa yako 

. chukua kikaangio kiweke motoni kisha weka mafuta mengi kiasi 

.acha mafuta ya chemke kisha weka vipande vyako vya maandazi ulivyo andaa 

.acha ndani ya dakika tano kisha geuza mpaka upate rangi ya kahawia 

.Epua maandazi yako na yapo tayari kwa kuliwa.

Comments