Jinsi ya kupika chapati
VIFAA
- Kikaangio
- Msukumio mafuta
- Chumvi kidogo
_weka maji ya vuguvugu kwenye beseni dogo
_weka unga wako wa ngano
_weka chumvi kwa juu yake
_weka mafuta juu yake
_nyanganya unga pamoja na viamba upishi vyake,mpaka upate duara linalifaa kusukumiwa chapati
_katakata maduara madogo madogo yanayo kidhi aina ya chapati unayotaka kutengeneza
_sukuma maduara hayo mpaka upate umbo la sahani
JINSI YA KUPIKA
-Weka kikaango motoni
-weka mafuta juu ya kikaango
-weka chapati yako moja
-geuza mpaka upate rangi ya dhahabu kwa mbali
-fanya ivyo kwa kila chapati
-Chapati yako ipo tayari kwa kuliwa Asante,pia unaweza kutumia mboga hizi ili kuongeza utamu zaidi...maharage,mchuzi wa nyama,chai...
Comments
Post a Comment